SportsSAUTI:NABI ABAINISHA KUWA MUUNGANIKO UMEPATIKANA Saleh2 years ago01 mins NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga alifunga msimu wa 2022/23 kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania mchezo uliochezwa Uwanja wa heikh Amri Abeid huku akibainisha kuwa tayari muunganiko kwenye kikosi hicho umeanza kupatikana. Post navigation Previous: KANE AWEKA REKODI LIGI KUU ENGLANDNext: VIDEO:SIMBA: MZUNGU AKIANZA KIKOSI CHA KWANZA ATAONDOKA NA MPIRA