SportsVIDEO:WATATU WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION LEO Saleh2 years ago2 years ago01 mins YANGA leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mastaa watatu ambao ni pamoja na Kambole, Diarra na Sure Boy wanatarajiwa kuukosa mchezo Post navigation Previous: HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEONext: CASEMIRO HUYO MAN UNITED