HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Agosti 20,2022 ambapo kuna mechi nne zitachezwa kusaka pointi tatu muhimu.

Ikumbukwa kwama jana Agosti 19 ulichezwa mchezo mmoja, Uwanja wa Uhuru na ubao ulisoma Ihefu 0-1 Namungo FC.

Leo ni Coastal Union v Yanga

Polisi Tanzania v KMC

Simba v Kagera Sugar