KIKOSI cha Yanga ambacho kitaanza leo mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kipo namna hii:-Diarra Djigui,DjumaShaban,Kibwana Shomari,Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho,SureBoy ,Feisal Salum,Fiston Mayele,KI Aziz na Farid Mussa.
Kwa upande wa wachezaji wa akiba ni Aboutwalib Mshery,Joyce Lomalisa, Bakari Mwamnyeto,Bacca, Zawad Mauya,Bigirimana, Jesus Moloko,Bernard Morrison na Makambo.
Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hili ambapo walitwaa msimu wa 2021/22 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na mtupiaji alikuwa ni Fiston Mayele.