HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA MSIMU WA 2022/23

KIKOSI cha Simba msimu wa 2022/23 ambacho kilitambulishwa Agosti 8/2022 kwenye kilele cha Simba Day ambapo walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya St George na Simba ilishinda mabao 2-0.

Ally Salim-1

Beno Kakolanya-30

Aishi Manula-28

Israel Mwenda-5

Shomari Kapombe-12

Gadiel Michael-2

Mhamed Hussein-15

Nassoro Kapama-35

Erasto Nyoni-18

Kennedy Juma-26

Joash Onyango-16

Mohamed Ouattra-33

Henock Inonga-29

Mzamiru Yassin-19

Victor Akpan-6

Jonas Mkude-20

Sadio Kanoute-13

Peter Banda-11

Jimmysone Mwanuke-21

Augustine Okra-27

Clatous Chama-17

Nelson Okwa-8

Pape Sakho-10

Kibu Dennis-38

John Bocco-22

Habib Kyombo-77

Moses Phiri-25

Dejan Georgijevic-7