MTIBWA SUGAR WAMEANZA KUSAJILI WAPYA
KIPA wa mpira Mohamed Makaka atakuwa ndani ya Mtibwa Sugar kwa msimu wa 2022/23 baada ya kupata dili jipya kwa mabosi hao ambao makao yao makuu ni Morogoro. Alikuwa ni kipa namba moja ndani ya Ruvu Shooting ambapo alikuwa hapo msimu wa 2021/22. Unakuwa ni usajili wa tatu kwa Mtibwa Sugar kuweza kutambulisha baada ya…