BALAA LA DATA ZA SOPU STARS HILI HAPA

MCHEZO wa kwanza walipokutana aliwafunga ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Somalia 0-1 Tanzania walipokutana mara ya pili akawafunga tena.

Anaitwa Abdul Suleiman,’Sopu’ kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Star ambaye anafanya kazi ngumu kuwa nyepesi.

Alihusika kwenye mabao mawili wakati Stars ikishinda 2-1 Somalia kwenye mchezo wa pili,Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga bao moja na kusababisha penalti moja iliyofungwa na Dickson Job tupo naye kwenye mwendo wa data namna hii:-

Pasi za mguu wa kulia-35

Pasi za mguu wa kushoto-2

Alikokota mpira mara -10

Alifunga bao -1 dk 33

Kiungo

Mguu wa kulia bao 1

Eneo

Nje ya 18

Kadi njano 0

Kadi nyekundu -0