
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ameitikia ombi la Klabu ya Yanga na kuthibitisha kuwa atahudhuria katika wiki ya Mwananchi itakayofanyika Agosti 6, 2022 jijini Dar es Salam. Ikumbukwe kuwa, Juni 26, 2022, Pitso aliipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC na kufanyiwa gwaride…