VIDEO:JEMBE AMCHAMBUA BEKI MPYA SIMBA/MAYELE YUPO KWA MKOPO

MKONGWE kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari akiwa na uzoefu mkubwa kwenye kazi hiyo amebainisha kuwa Simba ilikuwa ni lazima kuweza kufanya usajili wa kati baada ya kuachana na Pascal Wawa ambaye anaamini kwamba yeye ni beki bora kwa muda wa ambao alikuwa yupo hapo