SIMBA YAMTAMBULISHA RASMI KOCHA,ATOA NENO LAKE

KOCHA Mkuu wa Simba,Zoran Maki leo Julai 12,2022 ametambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba ambapo ameweka wazi kwamba anatambua kwenye kila nchi kuna mechi za dabi. Leo amewasili Tanzania raia huyo wa Serbia na anatarajia kukiongoza kikosi hicho kwa muda wa mwaka mmoja ikiwa ni mkataba ambao amesaini kuwatumikia washindi hao wa pili kwenye ligi….

Read More

MANZOKI,MNIGERIA WAINGIA ANGA ZA SIMBA

MASTAA watatu wa kimataifa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za Simba ambayo jana ilimtambulisha nyota mpya ambaye Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar. Kapama yeye ni mzawa amepewa dili la miaka miwili kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo. Cesar Manzoki huyu ni raia wa Uganda kwa ajili ya kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho na…

Read More

AZAM FC KUKWEA PIPA MPAKA MISRI

 JULAI 22,2022 kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka Dar na kuibukia nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 watakaa huko hadi Agosti 12,2022 kwenye Mji wa El Gouna, Kwa Mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amebainisha hayo kwa kuweka wazi kuwa hayo yametokea baada ya vikao kuweza…

Read More