>

VIDEO:JEMBE AWAZUNGUMZIA SIMBA,AMTAJA BARBRA

MWANDISHI mkongwe wa Habari za Michezo, Saleh Ally, ‘Jembe’ ameweka wazi kuwa kuhusu kushindwa kwa Simba sio Barbara pekee bali ni Simba wenyewe kiujumla na kwenye upande wa usajili wamekuwa wakifanya kazi nzuri kwa kufanya usajili mzuri ikiwa ni pamoja na Pape Sakho huku wengine wakiwa waliletwa na Simba kisha wakasajiliwa na timu nyingine.

Pia amefungukia suala la Azam FC kuweza kufanya usajili na kuingia kwa tajiri wa Azam FC kufanya usajili na amebainisha kuwa kurudi kwa bosi huyo kutakuwa na mabadiliko.