
SAUTI:ISHU YA AISHI MANULA NA KUSEPA NDANI YA MSIMBAZI
AISHI Manula,kipa namba moja wa Simba inatajwa kwamba bado hajasaini ndani ya kikosi cha Simba kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho ambacho kimemaliza ligi kikiwa nafasi ya pili katika ligi.