IKIWA leo ni siku ambayo kwa mujibu wa kalenda ya Kamati ya Uchaguzi wa Yanga ni siku ya uchaguzi kwa nafasi ya Rais,Makamu wa Rais pamoja na Wajumbe Watano,katika kampeni zake, Suma Mwaitenda ambaye ni mgombea nafasi ya makamu wa rais amebainisha utofauti wake na mgombea mwenzake ambaye ni Arafat Haji