SOPU ALIYEKUWA ANATAJWA SIMBA AIBUKIA AZAM FC

BREAKING:RASMI kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ni mali ya Azam FC. Nyota huyo alikuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga na Simba waliokuwa kwenye hesabu za kuwania saini yake. Kwenye Kombe la Shirikisho nyota huyo kasepa na tuzo ya mchezaji bora na mfungaji bora ambapo alifunga jumla ya mabao 9 na pasi…

Read More

MSIMU UMEKWISHA,KAZI INAHITAJIKA KWA MSIMU UJAO

ULIKUWA ni msimu mzuri kwa kila mmoja na mashabiki wameona hali halisi hasa maana ile ya mpira kuchezwa kwa ushindani na uwazi ndani ya dk 90. Suala la kushuka daraja na bingwa hilo limeweza kuwa miongoni mwa taarifa ambazo zipo mikononi mwa familia ya michezo kwa wakati huu. Champioship imeshatoa timu zake mbili ambazo zitashiriki…

Read More

ILALA FC MABINGWA LIGI YA SOKA LA UFUKWENI

MABINGWA wa Ligi ya Soka la Ufukweni msimu wa 2021/22 ni Ilala FC baada ya ushindi kwa penalti 4-3 dhidi Mburahati FC kwenye mchezo uliochezwa jana, Viwanja vya Coco Beach. Mchezo huo ulifikia hatua ya penalti baada ya timu hizo kufungana mabao 4-4 kwenye msako wa bingwa mpya kwenye ligi hiyo ambayo inadhaminiwa na Global…

Read More

SABABU ZA BM KUSAINI YANGA NA KUIKACHA SIMBA

KIUNGO wa zamani wa Simba,Bernard Morrison ameweka wazi kuwa ambacho anakipenda na atakikumbuka kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba ni upendo hivyo anaomba uendelee daima. Kwa sasa kiungo huyo amerejea ndani ya Yanga aliyokuwa akiichezea zamani kabla ya kuwafunga Simba kwenye mchezo wa ligi kisha akasajiliwa ndani ya Simba. Sababu kubwa ambayo imemfanya aweze…

Read More