KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION

MBELE ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali leo Julai 2,2022 kiungo Zawad Mauya ataanzia benchi pamoja na Mshery,Yassin,Bacca,Moloko,Kaseke,Nkane,Makambo na Ambundo.

Kikosi cha kwanza ni

Diarra Djigui

Djuma Shaban

Farid Mussa

Dickson Job

Bakari Mwamnyeto

Yannick Bangala

Kahlid Aucho

Sure Boy

Feisal Salum,

Chico Ushindi

Fiston Mayele