SAUTI:SIMBA QUEENS NA FOUNTAIN GATE KUTAMBULISHA WACHEZAJI KESHO

UWANJA wa Mkapa, kesho Juni 25,2022 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa hisani kati ya mabingwa wa Ligi ya Wanawake Tanzania, Simba Queens dhidi ya washindi wa nafasi ya pili Fountain Gate ambao ni mchezo wa hisani na timu zote zimeweka wazi kwamba zitatumia mchezo huo kutambulisha wachezaji wao wapya