MCAMEROON KUCHUKUA MIKOBA YA LWANGA SIMBA

WAKATI wakijua kuwa wataachana na kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga, uongozi wa Simba upo kwenye mawindo makali ya kumchukua kiungo Cedric Zemba Ekong raia wa Cameroon ili azibe pengo hilo. Simba wanataka kuliboresha eneo lao la ukabaji ambapo Ekong anayeitumikia Apejes FC ya kwao akifanywa kuwa chaguo namba moja. Kikosi hicho kwa msimu huu kimekuwa…

Read More

YANGA WASHITUKA, YAFUATA BEKI GHANA

MABOSI wa Yanga wameiangalia ripoti ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi haraka wakachukua maamuzi magumu ya kumfuata beki Mghana, Mohammed Alhassani. Beki huyo anayemudu kucheza namba 4 na 5 anakipiga Klabu ya Heart of Oak inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana ambaye anakuja kuimarisha safu ya ulinzi. Nabi hivi karibuni alisitisha mpango wa kusajili…

Read More

SIMBA WAMEPANIA, YASHUSHA WINGA MKENYA DAR

JANA asubuhi sana Simba ilimshusha winga wa kimataifa raia wa Kenya, Harrison Mwendwa kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kumsajili kuelekea katika msimu ujao. Simba tayari imefanikisha usajili wa kimyakimya wa wachezaji wanne pekee ambao ni Mzambia, Moses Phiri aliyetambulishwa tayari wengine Mnigeria Victor Akpan, Mghana Augustine Okrah na Nassoro Kapama. Timu hiyo inaendelea kufanya…

Read More

NYOTA BIASHARA UNITED KUSEPA MSIMU UKIISHA

 NYOTA wa Biashara United, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ ameweka wazi kuwa msimu ujao atakuwa nje ya Biashara United ambayo anaitumikia kwa sasa. Ikumbukwe kwamba nyota huyo amebakiza mechi mbili tu kuvua rasmi jezi ya timu hiyo baada ya kuivaa kwa misimu mitatu na msimu ujao hatakuwa katika kikosi hicho. Licha ya kushindwa kuweka wazi, atakuwa timu…

Read More

WINGA HUYU ATUA BONGO,ATAJWA KUIBUKIA SIMBA

 WINGA, Harrison Mwendwa ametua Dar es Salaam leo Juni 24 ambapo anatajwa kuwa amekuja kukamilisha suala la usajili wake na timu moja inayosiriki Ligi Kuu Bara. Winga huyo anatajwa kuingia kwenye rada za Azam FC,Yanga na Simba ambazo zinahitaji kuweza kupata saini yake kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23. Mguu wake wenye nguvu ni…

Read More

TANZANIA YAPANGWA KUNDI D KOMBE LA DUNIA

IKIWA imefanikisha lengo la kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kwenye Kombe la Dunia kwa timu ya Wasichana ya Tanzania, U 17, Serengeti Girls kundi lao ni D. Timu hiyo imefanikisha malengo hayo kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-1 Cameroon ulioifanya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Bakari Shime kukamilisha lengo hilo Juni 5,mwaka huu….

Read More

KIUNGO WA YANGA FEI AWEKA WAZI SABABU ZA UPAMBANAJI

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa kazi kubwa ambayo wanaifanya uwanjani ni kusaka ushindi jambo linalowafanya wawe na furaha. Fei ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amekuwa kwenye ubora kila awapo uwanjani. Kesho Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City na wanatarajiwa pia kukabidhiwa taji lao la…

Read More