HAJI MANARA: FEI TOTO HATUWEZI KUMUUZA CHINI YA BILIONI 1

“Mchezaji kama Feisal sasa hivi anamkataba, inakuja Klabu labda kutoka South Afrika inakuletea ofa ya USD 50,000 au USD 100,000 hatuwezi kukaa kuzungumza naye huyu mtu.

“Hapa katikati zimekuja ofa za baadhi ya timu, hatuwezi kumuuza Feisal Chini ya Tsh. Bilioni 1 sawa na Kama USD 500,000 hapo angalau tunaweza kuzungumza,” Msemaji wa Yanga, Haji Manara