VIDEO:FEI TOTO AMTAJA SAMATTA NA KIBA

KIUNGO wa Yanga,Feisal Salum ameweka wazi kuwa matamasha ya NIFUATE ni mazuri na amewaomba mashabiki waendelee kujitokeza kwa wingi ili kuweza kutoa msaada kwa wengine hiyo ilikuwa ni kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta ambapo yeye alikuwa ni kwa upande wa Team Kiba na amemtaja Kiba kuwa mmoja ya wachezaji ambao walifanya vizuri