MAKOCHA WA YANGA NA SIMBA WAIBIANA MBINU NAMNA HII

MAKOCHA wawili ambao wanatarajiwa kuongoza vikosi vyao Uwanja wa CCM Kirumba kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho wameibiana mbinu ndani ya dakika 90 kabla ya kukutana uwanjani. Ni Nasreddine Nabi Kocha Mkuu wa Yanga wa alianza kuweza kuiba mbinu za Pablo Franco Uwanja wa Kirumba baada ya kushuhudia dk 90 za kazi…

Read More

MANULA,KAPOMBE WAANZA MAZOEZI KUIKABILI YANGA

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema nyota wawili waliokuwa majeruhi katika kikosi chao, Aishi Manula na Shomari Kapombe, wameanza mazoezi rasmi kujiandaa kuikabili Yanga SC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa, Jumamosi hii. Manula alipata maumivu ya mkono muda mfupi kabla ya mchezo wa ligi kati ya Geita Gold v…

Read More

JEMBE:AMBUNDO ANAJAMBO KUBWA LA KUJUTIA KULIKO SAIDO

MCHAMBUZI mwandamizi wa michezo nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema kuwa mchezaji wa Yanga, Dickson Ambundo anatakiwa kujitafakari zaidi pengine kuliko hata mchezaji mwenzake Saido Ntibazonkiza ambao wote wamesimamishwa na Yanga kwa kosa la kutoroka kambini. Ambundo ni mchezaji mzawa ambaye amepita katika vilabu kadhaa kabla ya kutua Yanga ikiwemo Gor Mahia ya Kenya pamoja na…

Read More

PRISONS WATOSHANA NGUVU NA GEITA GOLD

LICHA ya kuanza kufunga kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya Tanzania Prisons waliweza kugawana pointi mojamoja na Geita Gold. Bao la dakika ya 30 lililofungwa na jeremia Juma lilidumu ndani ya kipindi cha kwanza kwa kuwa alifunga dk ya 38 kwa kuwa kuwa kipindi cha pili vijana wa Geita…

Read More

MABOSI WA SIMBA WAONGOZWA NA MO KUIJADILI YANGA

KUELEKEA mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga dhidi ya Simba, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo Dewji’, ameitisha kikao cha ghafla ili kuona wanajipangaje kuwamaliza wapinzani wao hao. Jumamosi hii, Simba itakuwa na kibarua kizito mbele ya Yanga, katika mchezo huo utakaochezwa Uwanja…

Read More

FEI TOTO,AUCHO WAONGEZEWA DOZI KISA SIMBA

KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinaimarika katika kila idara, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amewaongezea program ya mazoezi wachezaji wake wakiongozwa na Khalid Aucho na Feisal Salum ‘Fei Toto’. Yanga Jumanne iliibukia Shinyanga kuendelea na kambi ya maandalizi ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Simba utakaochezwa CCM…

Read More

CHEZA KWA 1000 UPATE BILIONI 1 YA SUPA JACKPOT SPORTPESA

KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa  imezindua rasmi Jackpot mpya inayoitwa Supa Jackpot kama moja ya huduma yao nyingine kwa wachezaji wake. Akizungumza ofisini kwake, Oysterbay, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Tarimba Abbas amesema ni siku nyingine ambayo Kampuni ya SportPesa inatambulisha huduma hiyo. ‘’Najua bado watu wanashauku na Jackpot yetu ambayo imeliwa siku si…

Read More

FAMILIA YA MERIDIANBET NI KUBWA, NDANI YAKE KUNA VINARA WA SEKTA YA USAFIRI NDANI YA MAJIJI, FAMILIA HII NI KUBWA!!

Miongoni mwa mifumo ya usafiri inayopatikana nchini Tanzania, pikipiki almaarufu kama bodaboda ni kinara kwenye sekta ya usafiri hasa maeneo ya mijini na vijijini. Hili ni kundi ambalo, pengine limetoa ajira kwa vijana wengi nchini Tanzania na, kwa kujiajiri kwao kunaongeza pato lao binafsi na Taifa kwa ujumla. Meridianbet tunaamini katika ubingwa. Kwetu, maana halisi…

Read More