IKIWA ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold, Simba inatarajia kushuka na kikosi kazi huku kipa namba moja Aishi Manula leo akiwa nje.
Kikosi kipo namna hii:-
Beno Kakolanya
Shomari Kapombe
Gadiel Michael
Joash Onyango
Pascal Wawa
Kibu Dennis
Kanoute Sadio
John Bocco
Rally Bwalya
Pape Sakho
Taddeo Lwanga