RATIBA LIGI KUU BARA BONGO

MEI 21 Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea kwa timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu.

Polisi Tanzania itakuwa nyumbani Uwanja wa Ushirika kucheza dhidi ya Biashara United.

Mtibwa Sugar itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC ni pale Uwanja wa Manungu.

Kagera Sugar ni mbele ya Ruvu Shooting mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kaitaba.