SAA 1:00 leo Mei 20,2022 Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mbeya Kwanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili.
Ni kikosi kamili Yanga wameanzisha mbele ya Mbeya Kwanza ikiwa namna hii:-
Diarra Djigui
Kibwana Shomari
Farid Mussa
Yannick Bangala
Dickson Job
Khalid Aucho
Sure Boy
Jesus Moloko
Ambundo
Ntibanzokiza
Mayele Fiston