SIMBA YALIPA KISASI MBELE YA KAGERA SUGAR YAICHAPA 2-0
LEO Mei 11,2022 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelipa kisasi cha kutunguliwa mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Kaitaba. Ushindi wa mabao 2-0 ambao wameupata leo wamelipa kisasi cha mzunguko wa kwanza baada ya Hamiss Kiza kuweza kumtungua bao 1-0 Aishi Manula walipokutana. Leo wamekutana kwenye mzunguko wa…