HASHIM Ibwe,mtangazaji wa Azam TV ameweka wazi sababu inayofanya kila anapotangaza mechi za Simba matokeo kuwa ni sare ndani ya dakika 90 kwa msimu wa 2021/22.
Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliokamilika kwa suluhu kisha mchezo wa pili ulikuwa ni ule dhidi ya Namungo FC uliochezwa Uwanja wa Ilulu na ubao ulisoma Namungo 2-2 Simba.