VIDEO:YANGA WATAMBA,TABU IPO PALEPALE

MZEE wa Utopolo shabiki wa Yanga kutoka Iringa mkazi wa Majohe amebainisha kuwa kugawana pointi mojamoja na watani zao wa jadi Simba maana yake ni kwamba tabu ipo palepale kwa kuwa wamewazidi kwa pointi zilezile ambazo walikuwa wamewazidi awali.

Jumla ya pointi 55 wamefikisha Yanga baada ya kucheza mechi 21 huku Simba ikiwa na pointi 42 baada ya kucheza mechi 20 msimu wa 2021/22.