Infinix imekuja na mashindano ya HOT LEAGUE, mashindano haya yatafanyika kwa ushindani mkubwa sana yakishirikisha vijana wa kuanzia umri wa 18-25 kutoka vyuo vikuu pamoja na timu za wilaya mbali mbali za jijini Dar es Salaam.
Usajili utaanza rasmi 20/4 na utafanyika kwa muda wa siku 4 kuanzia saa 4:00 Asubuhi katika viwanja vya wilaya husika. Usajili utafanyika chini ya Makocha wazoefu kutoka kwenye tasnia ya mpira nchini Tanzania wakishirikiana na watangazaji mahiri wa mchezo wa kabumbu, kama ifuatavyo;
USAJILI INFINIX HOT LEAGUE | |||
Usajili Team: |
Uwanja |
Maeneo Lengwa/Wilaya |
Tarehe |
Richard Momo (Team Richardo) | Kinesi | UBUNGO | 20-April |
Yusuph Mkule (Team Mkule) | TFF Ground | TEMEKE | 21-April |
Edo Kumwembe (Kumwembe) | ILALA | 22-April | |
George Job (Team Job) | Tanganyika packers | KINONDONI | 23-april |
Washindi wa HOT LEAGUE KUZAWADIWA SIMU AINA YA Infinix HOT 12 itakayoingia sokoni mapema mwezi huu wa 5 na sifa kubwa simu hii ni speed ya processor aina ya MediaTek na kasi yake ya gaming ni 85 na hii kuifanya kuwa simu ya kwanza ya toleo la HOT kuwa na processor yenye kuchakata kazi kwa haraka zaidi.
Team itakayochukua nafasi ya pili kuzawadiwa HOT 12i, na team ya tatu kujinyakulia 12PLAY kwa kifupi kila mchezaji wa team za tatu bora kujiondokea na series ya Infinix HOT 12.
Zawadi nyengine kubwa kwa wachezaji wawili wa mashindano yan TOP SCORER and BEST PLAYER watapata nafasi ya kujiunga na team kubwa mbili za hapa Tanzania kwajili ya kujifunza.
Baada ya usajili mechi ya kwanza itachezwa rasmi 28/4 yakifunguliwa na na mechi kabambe kati ya WASAFI FC na BONGO FLAVA FC katika kiwanja ya mpira kinesi Sinza.
Tembelea kwa karibu zaidi kurasa @infinixmobiletz au piga nambari ya simu 0743558994 kufahamu zaidi kuhusu Infinix HOT LEAGUE.
#INFINIX HOT LEAGUE FAST AND FUN: