VEDEO:SIMBA WALIKUWA WANAJUA YANGA ITASHINDA MBELE YA AZAM FC

AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kumzuia mtu ambaye ametoka kushinda mechi za CAF ni ngumu mno hivyo wapinzani wao Coastal Union wanastahili kupata pongezi kwa kile ambacho wamekifanya.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani,Aprili 7,Tanga ubao ulisoma Coastal Union 1-2 Simba.

Kuhusu mchezo wa Azam FC 1-2 Yanga ameweka wazi kuwa walikuwa wanajua kwamba Yanga wangeshinda mchezo huo ambapo ao la ushindi lilifungwa na Fiston Mayele.