NI Aprili 3,2022 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v USGN kuchezwa saa 4:00 usiku.
Simba ipo kundi D ikiwa na pointi 7 na USGN ina pointi 5 ikiwa nafasi ya nne zote zinahitaji pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa leo.
Ule wa awali walipokutana ugenini walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 hivyo leo kazi inatarajiwa kuwa kubwa kwa timu zote mbili.
Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba, Palo Franco amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huu muhimu ambao utatoa hatma ya Simba kuweza kutinga hatua ya robo fainali ya Kome la Shirikisho Afrika.
Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinaweza kuanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya USGN:-