SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU VITOCHI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hauungi mkono kabisa matumizi ya vitochi na badala yake uwezo wa wachezaji pamoja na uwepo wa mashabiki uwanjani ni silaha yao katika kusaka ushindi. Kesho saa 4:00 usiku Simba ina kibarua ca kusaka ushindi mbele a USGN kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi na ambacho wanakihitaji…