MENEJA wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa watoto wakilala wakiamka watawakuta wapo hatua ya robo fainali, Kombe la Shirikisho.
Simba Jumapili itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya USGN mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 4:00 usiku.