Kampuni kinara wa kutengeneza michezo ya kubashiri, Expanse Studio, wataonesha michezo yao mipya na mpango wa maboresho kwenye maonesho ya ICE London 2022 kuanzia Aprili 12-14, watapatikana kwenye banda namba S5-332.
Baada ya miaka miwili, maonesho makubwa ya kibiashara yanarejea. Safari hii yatakwenda moja kwa moja na ongezeko la potifolio ya sloti za Expanse ikiwa na baadhi ya habari njema – mashirikiano na masoko mapya na yanayokua, ongezeko la ofa za michezo na mifumo ya kipekee.
Wild Icy Fruits, Circus Fever Deluxe, Titan Roulette ni miongoni mwa michezo inayoongoza kwenye orodha ikichagizwa na mizunguko ya bure na jakipoti endelevu. Watembeleaji wa banda hili wataweza kujifunza zaidi kuhusu mipango ya masoko mapya ya H2 2022.
Kuongeza wigo wa wateja ulio na mpangio mzuri, ubunifu na michezo rahisi kucheza, wasiliana na Expanse kupitia anuani ya sales@expanse.studios au tembelea https://expanse.studio/
Tukutane London!