MORRISON:TUTASHINDA MCHEZO WETU

KIUNGO wa Simba, mchetuaji Bernard Morrison amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya USGN na watapambana ili kupata matokeo chanya. Simba inakibarua cha mwisho mkononi cha kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ikiwa na pointi zake kibindoni 7 baada ya kucheza mechi tano. Kufungwa 3-0…

Read More

SURE BOY AWAPIGA MKWARA MABOSI ZAKE

KIUNGO wa Yanga, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ amewachimba mkwara mabosi wake wa zamani Azam FC kwa kuwaambia kuwa atahakikisha anaipambania timu yake kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajia kupigwa Aprili 6, mwaka huu. Sure Boy ni mchezaji wa zamani wa Azam, amejiunga na Yanga katika dirisha dogo la usajili msimu…

Read More

ONYANGO AINGIA ANGA ZA WASAUZI

VIGOGO wa soka kutoka Afrika Kusini, Orlando Pirates wametajwa kuwa bado kwenye mpango wa kumsajili beki wa kati wa Simba raia wa Kenya,  kwa ajili ya Kuimarisha kikosi chao kwa msimu ujao . Onyango anatarajia kumaliza mkataba wake ndani ya Simba mwishoni mwa msimu huu, ambapo Orlando wanajipanga kutumia nafasi hiyo kumsajili kama mchezaji huru,…

Read More