VIDEO:TAZAMA KOCHA WA YANGA AKIPEANA MKONO NA SIMBA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ni miongoni mwa wale ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Simba v RS Berkane na aliweza kupeana salamu na mkono na Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally.

Kwenye mchezo huo Simba ilishinda bao 1-0 na mtupiaji alikuwa ni Pape Sakho dakika ya 44 na kuifanya Simba kukusanya pointi tatu Uwanja wa Mkapa.