VIDEO:TAZAMA NAMNA MASHABIKI WALIVYOTOA HESHIMA KWA ALY KIMARA

MASHABIKI wa Yanga Machi 12 waliweza kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa hisani uliochezwa Uwanja wa Azam Complex kati ya Yanga dhidi ya timu ya Taifa ya Somalia ambao ulikamilika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

Hivi ndivyo mashabiki waliweza kutoa heshima kwa Ally Kimara kabla ya mchezo kuanza:-