SportsVIDEO:CHEKI MAZOEZI YA SIMBA KUIVUTIA KASI RS BERKANE Saleh3 years ago01 mins LEO Machi 12, kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane unaotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa. Post navigation Previous: RATIBA YA MZUNGUKO WA 18,LIGI KUU BARANext: MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI