SportsVIDEO:NYONI:TUNA IMANI TUTAPATA POINTI TATU Saleh3 years ago3 years ago01 mins KIRAKA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, Erasto Nyoni amesema kuwa wana imani ya kupata pointi tatu kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Uwanja wa Mkapa. Post navigation Previous: YANGA KUCHEZA MCHEZO WA HISANI KESHO AZAM COMPLEXNext: NABI ANATAKA MABAO YA MAPEMA NDANI YA YANGA