VIDEO:MAYELE APEWA NG’OMBE MWINGINE,MADAFU NA SAMAKI PIA

MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele akiwa ametupia mabao 10 kibindoni na pasi tatu za mabao amekabidhiwa zawadi ya ng’ombe mwingine tena baada ya ile ya kwanza kupewa alipokuwa Moro alipowatungua Mtibwa Sugar.

Pia Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wengine wamepeleka samaki,madafu pamoja na zawadi mbalimbali.