LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Machi 7 ikiwa ni mzunguko wa 17.
Ruvu Shooting itamenyana na Biashara United saa 8:00 mchana ni Uwanja wa Mabatini.
KMC wao watamenyana na Coastal Union pale Azam Complex ngoma itakuwa saa 10:00 jioni.
Simba SC itakuwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Dodoma Jiji, saa 1:00 usiku.