TANZANIA U 17 YASHINDA KIFURUSHI MBELE YA BOTSWANA
TIMU ya taifa ya Tanzania, U 17 ya Wanawake imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Botswana kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan,Zanzibar. Ni mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambao ulikuwa na ushindani mkubwa. Kipindi cha kwanza Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao manne na kipindi cha pili walifunga mabao matatu na kufanya hesabu kukamilika kwa…