CHEKI MATOKEO YA MTIBWA V YANGA

LEO Februari 23, Uwanja wa Manungu unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Yanga majira ya saa 10:00.

Timu hizo zimekuwa na matokeo ya kushangaza kila zinapokutana uwanjani hivyo leo dakika 90 zitaamua nani atakuwa nani.

Haya hapa ni matokeo ya mechi za hivi karibuni walipokutana kwenye ligi:-

Yanga imeshinda mechi tano kwenye mechi 10 ambazo wamekutana kwenye misimu mitano  huku Mtibwa Sugar ikiwa imeshinda mechi mbili na sare ni tatu.

2020/21
Yanga 1-0 Mtibwa Sugar
Mtibwa 0-1 Yanga

2019/20
Mtibwa 1-1 Yanga
Yanga 1-0 Mtibwa Sugar

2018/19

Mtibwa 1-0 Yanga
Yanga 2-1 Mtibwa Sugar

2017/18

Mtibwa 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Mtibwa

2016/17
Mtibwa 0-0 Yanga
Yanga 3-1 Mtibwa