SIMBA V PAMBA, YANGA V GEITA GOLD KOMBE LA SHIRIKISHO
DROO ya mechi za Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) hatua ya robo fainali imefanyika leo Februari 21. Jumla ya timu 8 zimeweza kushuhudua droo hiyo ambayo ilikuwa mubashara pia Azam TV. Mashabiki pia wameweza kufuatilia na sasa wanajua kwamba timu zao zitacheza na timu ipi baada ya kupenya kwenye hatua ya 16 bora….