OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa ushindi wa mabao 7-0 waliopata mbele ya Ruvu Shooting ni salamu kwa timu ambazo zimetangulia hatua ya robo fainali katika Kombe la Shirikisho
Pablo Franco alishuhudia timu hiyo ikitinga hatua ya robo fainali na Simba ni mabingwa watetezi.