SAIDO AJISIKITIKIA MWENYEWE YANGA
SAID Ntibanzokiza, ‘Saido’mambo yake yalikuwa magumu mbele ya Biashara United kwa kushindwa kumtungua kipa namba moja wa Biashara United, James Ssetuba jambo lililofanya kila muda awe anajisikitia anapokosa nafasi. Juzi wakati Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United na mabao ya Yanga yalifungwa na…