WAPINZANI WA SIMBA WAPIGA MATIZI YA MWISHO MKAPA
WAPINZANI wa Simba, ASEC Mimosas leo Februari 12,2022 wamefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa. Ni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kesho Februari 13, Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba. Utakuwa mchezo wa kwanza kwa timu hizo ndani ya kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika ambapo kila timu hesabu zake ni kusepa…