BEKI WA YANGA JOB APIGWA FAINI,AFUNGIWA MECHI TATU
BEKI wa Klabu ya Yanga, Dickson Job amefungiwa kuweza kucheza mechi tatu kwa msimu wa 2021/22 na Kamati ya Bodi ya Ligi Tanzania ambayo imetoa taarifa hiyo leo Februari 11. Mbali na kufungiwa kucheza mechi tatu za ushindani ambazo ni pamoja na zile za Kombe la Shirikisho pamoja na za ligi nyota huyo pia amepigwa…