Kwa muda mrefu, Kasino ya Meridianbet imekuwa ni sehemu moja yenye neno moja la kipekee – Jakipoti za Kasino! Hii hainakikomo, wameendelea kufanya hivyo hadi mwaka 2022.
Sikia hii, mteja mmoja wa Kasino ya Meridianbet amejishindia €15,616 baada ya kushinda jakipoti kwenye Sloti ya Secrets of Alchemy. Mwanzo mzuri kwa mwezi Februari! Hii ni maana halisi ya jakipoti kubwa duniani.
Sio hivyo tu, Meridian wamekua wakilipa mamilioni ya ushindi na jakipoti za kasino kwa miezi kadhaa sasa. Lakini, ushindi mmoja umeweka rekodi kwenye soko la sloti duniani na, pengine rekodi hii itaendelea kuwepo.
Mwishoni mwa mwaka 2021, Kasino ya Meridianbet imelipa jakipoti ya €1,129,692.15 kupitia mchezo wa Sloti ya Wild Crusade: Empire Treasures. Huu ni ushindi mkubwa kuwahi kushuhudiwa kwenye soko la Ulaya.
Huu sio mwisho wa burudani na ushindi mkubwa kupitia Meridianbet, michezo kedekede ya sloti za Kasino inaendelea kuongezwa!
Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!