LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mara nyingine tena leo Februari 6 2022 ikiwa ni mzunguko wa 14.
Timu tatu zitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye mechi ambazo watacheza katika uwanja
Ni Geita Gold v Polisi Tanzania Uwanja wa Nyankumbu.
Namungo v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Majaliwa.
Simba v Mbeya Kwanza, Uwanja wa Mkapa..