NCHI 10 ZILIZOFUZU MTOANO KOMBE LA DUNIA AFRIKA
NCHI 10 za Afrika zimefuzu mechi za mtoano kuelekea katika Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika Qatar mwakani kuanzia Novemba 21 mpaka Desemba 18, 2022, yakishirikisha mataifa 32 . Qatar, itashiriki mashindano haya kwa mara ya kwanza kabisa, na imefuzu kama mwenyeji, ikitarajiwa kuwa moja ya timu ambayo inaweza kuwashangaza wengi kutokana na suala la…