![KOMBE LA DUNIA NA MACHAGUO SPESHO MERIDIANBET TWEN’ZETU KIBINGWA QATAR](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/skysports-harry-kane-tottenham_5862786.jpg)
KOMBE LA DUNIA NA MACHAGUO SPESHO MERIDIANBET TWEN’ZETU KIBINGWA QATAR
Kila baada ya miaka minne wapenda soka kote duniani huwa wanaungana na kushuhudia utamu wa burudani ya macho na moyo nikimaanisha hisia zote huwa uwanjani. Ndio Namaanisha Kombe la Dunia, ni jukwaa maalum kabisa la Mabingwa kuonesha ukali wao na Mabingwa wenzao. Na wewe una nafasi ya kuonesha ubingwa wako kwa kubeti kwenye…